Hii ni kutokana na kwamba kitambulisho hiki kina taarifa ambazo tunaamini taarifa sahihi za Muhusika zinapatikana. Pia kujihakikishia usalama kwa muhusika pamoja na taasisi yetu.
Ni lazima awe na umri wa miaka 18 na kuendelea
Ni lazima awe Mtanzania
Ni lazima awe na kitambulisho cha Taifa (NIDA)
Lazima awe na taarifa za Ndugu wa karibu
Lazima awe na taarifa za mdhamini na (NIDA)
Lazima aainishe namba ya simu au AKAUNTI.