1
Ingia kwenye tovuti ya www.ctp.wacamed. com
2
Jisajili au fungua akaunti yako
4
Jaza taarifa za mtu wako wa karibu
5
Jaza taarifa za mdhamini wako
6
Jaza taarifa nyingine zote zinazohitajika
8
Zingatia kitambulisho cha Taifa kwa mwombaji na mdhamini ni muhimu iki kukamilisha maombi.