WACAMED Chukua Tano Portal Ni mfumo ambao unampa mtu yeyote mwenye umri kuanzia miaka 18 fursa ya kujisajiri kuwa wakala wa chuo cha WACAMED na kujipatia asilimia 5% ya ada kwa kila mwanafunzi atakeyejisajili kwa namba ya wakala atakayopatiwa baada ya mwanafunzi kulipia ada.

Faida kwa wakala

Wakala: atapata 5% ya ada katika kila mwanafunzi atakayejisali kuwa namba (Link) yake ya uwakala.

Faida kwa mwanafunzi

Mwanafunzi atakeyejisajili kupitia namba (Link) ya wakala atapunguziwa 2% ya ada.

Pata 5% ya ada kwa kila mwanafunzi

S/N Course name Duration Price (TZS) Commission (5%)
1 Adobe Illustrator 3 Weeks 300,000.00 15,000.00
2 Adobe Photoshop 3 Weeks 300,000.00 15,000.00
3 Adobe InDesign 3 Weeks 300,000.00 15,000.00
4 CorelDRAW for CNC Operators / Designers 4 Weeks 400,000.00 20,000.00
5 Graphics Design Foundation 8 Weeks 450,000.00 22,500.00
6 Commercial Graphics Design 12 Weeks 500,000.00 25,000.00
7 Strategic Graphics Design and Business Solutions 8 Weeks 600,000.00 30,000.00
8 Digital Photography 8 Weeks 455,000.00 22,750.00
9 Video Production 8 Weeks 550,000.00 27,500.00
10 Photography and Videography 12 Weeks 810,000.00 40,500.00
11 Premiere Pro 3 Weeks 350,000.00 17,500.00
12 Adobe Audition 2 Weeks 300,000.00 15,000.00
13 2D Based - Motion Graphics 12 Weeks 1,810,000.00 90,500.00
14 3D Based - Motion Graphics 12 Weeks 2,810,000.00 140,500.00
15 Broadcasting Graphic Design 12 Weeks 2,500,000.00 125,000.00
16 Adobe After Effects 8 Weeks 560,000.00 28,000.00
17 MAXON Cinema 4D 12 Weeks 950,000.00 47,500.00
18 Autodesk Maya 12 Weeks 850,000.00 42,500.00
19 T-Shirts Printing and Design 8 Weeks 455,000.00 22,750.00
20 Computer Application 8 Weeks 350,000.00 17,500.00